samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Sawa kabisaWaambie wampeleke mahakamani usikubali suluhu nje ya mahakama.
Kisheria limekaaje hili ni haki au sio hakiWaambie wampeleke mahakamani usikubali suluhu nje ya mahakama.
Kwani mwanamke ni binti chini ya 18?Kisheria limekaaje hili ni haki au sio haki
Sio mwanafunzi, ila nimefika police ndio nimeambiwa binti anamiaka 17.Kwani mwanamke ni binti chini ya 18?
Mwanafunzi?
Kama sio wanakujambisha tu hao. Nenda mahakamani
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wanataka wampe kesi tu hao...!!Sio mwanafunzi, ila nimefika police ndio nimeambiwa binti anamiaka 17.
Anafanyaje kazi mtoto wa miaka 17!Sio mwanafunzi, ila nimefika police ndio nimeambiwa binti anamiaka 17.
Hapo ndio tunawauliza piaanafanyaje kazi mtoto wa miaka 17!
Mkuu unajua kabisa kapaniki unazidi kumpanikisha badala ya kumshusha pressure are advicer?Title: Kijana wangu wa kazi anemia mimba dada wa kazi mimba, ndugu wa dada wamempeleka police kijana
Content: ...kija wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani
MY TAKE:
Mkuu mbona kama ume-panic? Mara dada wa kazi, mara binti wa jirani, mara "anemia", mara "kija"! Vipi Mkuu?! Au hilo zigo ni la kwako mwenyewe, ukaamua um-set kijana wa kazi kwa kujua mambo yangeisha kirahisi, sasa unaona mtiti unapelekwa kwa Pilato, ndo mapigo yako ya moyo yameanza kwenda kasi kwa hofu huenda Kijana wa Kazi akajivua madaraka na kukudondoshea jumba bovu ulilojenga mwenyewe kwa mchanga?
Kosa ni kutaa hiyo mimba aliyomjaza binti wa watu....kama wanavyotaka wazazi wa huyo binti...AILEEE MIMBA na MTOTO akizaliwa!Wapendwa naomba kujua kosa linaloweza mtia hatiani kijana huyu, kija wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani, ndugu wamempeleka Dawati la jinsia na kumpeleka polisi, wakidai kosa ni kukata mimba na polisi wamemweka maabusu, swali kumpa mimba mtu mzima mwenzako nikosa kisheria?..
Sio mwanafunzi, ila nimefika police ndio nimeambiwa binti anamiaka 17.
Soma vizuri amesema "binti wa jirani....".anafanyaje kazi mtoto wa miaka 17!