Kijerumani ni kama Kiswahili

Mkuu unabisha tu lakini duniani lugha raisi kwa mswahili kujifunza ni Spanish na Italian. German na French ni lugha ngumu kuliko hizo mbili.

Anyways ni mtizamo wangu. Labda inategemea mtu na mtu.
Ukweli ndo upo hivyo, mbali na mtazamo, hata Mhispanania mwenyewe hasumbuki kusoma maneno ya kiswahili,hili nimelijaribu mwenyewe.
 
Shule na hela ni maneno tuliyoazima kwa Wajerumani katika Kiswahili
 
Ukweli ndo upo hivyo,mbali na mtazamo,hata mspanania mwenyewe hasumbuki kusoma maneno ya kiswahili,hili nimelijaribu mwenyewe.
Kweli mkuu. Mimi nimejifundisha mwenyewe Spanish (sijasoma shule/chuo chochote) na mpaka sasa nipo vizuri naweza kufanya mazungumzo na mtu yoyote tukaelewana.

Sasa najifunza Mandarin na French.
 
kispanish ni simple sana unatamka neno the same way you read it ila exceptions ni chache sana mfano ña unatamka nya sababu ya hako ka jamaa juu ya n, neno likiwa linaishia na double ll linakua ya mfano LA silla =la siya ,elufi h ni silent in spa mfano heche = eche, j unaitamka kama h eg jose = hose. hadi hapo huwez kushindwa kukitamka kispanish other reasons remain constant. halaf muundo Wa sentence za Spanish hautofautiani
 
Ndipo hapo!Ninaposema Kijerumani ni Kiswahili baada ya kukifanyia tafiti kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama(mama)
Kaka(mavi)
Nuss(njugu)
Penis(uume)
Komred(rafiki)
Kuh(ng'ombe)
Stunde(lisali) "S" mbele kukiwa na T au P " s "inakuwa = "sh" kwa hiyo neno letu tutalisoma ( sh-tu-nde).
Yapo mengi karibia lugha nzima .
#herufi ambao zinatamkwa tofauti :
-äu =oi häutig tutaitamka (hoi-ti-k)
-eu=oi Deu(doi-)
-ie=idie(di)
-ei=aiai(bai)
Kimsingi,ni mambo madogo hiyo mifano michache tu hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndipo hapo!Ninaposema Kijerumani ni Kiswahili baada ya kukifanyia tafiti kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi linganisha urahisi wa kiswahili n kijerumani, ndio maana hata kule juu tukawa tumeweka baadhi ya maneno ambayo yanasomeka kirahisi kabisa kwa lugha ya kisapnia na kiingereza, bado tunasubiria maneno ya kijerumani
 
Zote mbili naongea ,Ila sikuping kwako huenda nitofaut
Hapa naona wote mko sahihi hata google inasema lugha zoote hizo ni rahisi kwa anae jua kiingereza tayari!! ila navoona waalimu wenu walifanya kila mtu akajua hizo lugha kirahisi!!

msichoke leteni madini tu tuelimishe watu humu huenda tunaweza pata kazi hapo JF! ila kwangu mie naona kiingreza na kijermani ni kama vina fanana sikupata shida kabisa kujifunza.

mpaka mwalimu wangu akasema nimekuja kuwajaribu! najua! ivoivo baadae akawa rafiki yule mdada bana! akawa ananipa topic naenda kufundisha darasa km ana kazi nyingine!
 
Najua French fluent, najifunza Spanish sasa
Nilichoona:

1.Spanish ki matamshi asilimia kubwa sana ni kama Kiswahili.

2.Sheria za grammar kiasi ni kama Kifaransa

3.Ni lugha rahisi kujifunza kwa Mswahili
 
Najua French fluent, najifunza Spanish sasa
Nilichoona:

1.Spanish ki matamshi asilimia kubwa sana ni kama Kiswahili.

2.Sheria za grammar kiasi ni kama Kifaransa

3.Ni lugha rahisi kujifunza kwa Mswahili
Hola Tyrone Kaijage, ¿vienes de la región que está cerca de Uganda y Ruanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…