Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
πππdah! Itabidi wawekewe sheria ya kulalaHawa wanaabudu kazi sana, nadhani ndio taifa ambalo linaongoza duniani kwa raia wake kufanya kazi masaa mengi zaidi
Mpaka Serikali yao inaweka sleeping corridor ktk maeneo ya kazi lakini jamaa hawataki wanakomaa na mzigo
Duh alafu kuna wabongo huku, kazi saa 2, sogaa saa 3, Bata saa 5, lawama saa 4, saa zilizo baki ni mwendo wa kulala.Hawa wanaabudu kazi sana, nadhani ndio taifa ambalo linaongoza duniani kwa raia wake kufanya kazi masaa mengi zaidi
Mpaka Serikali yao inaweka sleeping corridor ktk maeneo ya kazi lakini jamaa hawataki wanakomaa na mzigo