Kijiji gani Rufiji unaweza fanya kilimo cha umwagiliaji

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
1,123
Reaction score
1,302
Habari zenu

Wakuu mimi ni kijana mwenye ndoto na imani kubwa sana kwenye kilimo nilikuwa naomba muongozo kwa yeyote anayeijua Rufiji anifahamishe maeneo mazuri na Ardhi nzuri yenye rutuba

Ni hayo tu naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu bonde la mto rufiji ndo bonde hilo hilo limezunguka hadi moro, kuna baadhi ya mazao ambayo moro yanakubali basi rufiji pia ni hvy hvy isipokua eneo hili limepoteza umaarufu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo na uchawi, baadhi ya wakulima waliotambua hili inasemekana wameanza kumove kutafuta maeneo rufiji ambapo maeneo mengi ni virgin.mpunga unakubali mnooooo na ufuta, mahindi hata maharage
Kwa Nini Rufiji Na Si Kwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonde la mto Rufiji, jirani na daraja la Nkapa
True mmakonde wewe, Hapo panaitwa ikwiriri that is the best place in Rufiji.Kuna maji ya kutosha mpunga pale mwao mwao, nilifika pale na kuonana na dalali wa mashsmbea na viwanja 2014.Kasoro yake kuliwahi kuwa na ugomvi wa wakulima na wafugaji, mafuriko hutokea, wandengereko ni mamwinyi na hawapendi kazi hivyo unawexa shushwa busha.Kingine unachoweza fanya pale ni tour guide maana mbuga ya selou haiko mbali.Usichelewe nenda haraka ukifika stand kuna jamaa wanafanya udalili wa mashamba, mashamba ni bei poa sana
 
Kuongezea ni kwamba unaweza kuanzisha kilimo cha miwa, ufugaji wa samaki na ufugaji ng'ombe wa kistaarabu.Um
kienda huko unitumie namba za wale madalali mi nimezipoteza af niko mbali ila ipo siku nitaenda kununua uwanja kule kuzuri sana.
 
Hakika umeongea mkuu ntatoa mrejesho nikifanikiwa kufika
True mmakonde wewe, Hapo panaitwa ikwiriri that is the best place in Rufiji.Kuna maji ya kutosha mpunga pale mwao mwao, nilifika pale na kuonana na dalali wa mashsmbea na viwanja 2014.Kasoro yake kuliwahi kuwa na ugomvi wa wakulima na wafugaji, mafuriko hutokea, wandengereko ni mamwinyi na hawapendi kazi hivyo unawexa shushwa busha.Kingine unachoweza fanya pale ni tour guide maana mbuga ya selou haiko mbali.Usichelewe nenda haraka ukifika stand kuna jamaa wanafanya udalili wa mashamba, mashamba ni bei poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni sn ikwiriri
IMG_20190513_171251_629.jpeg
20190427_140111.jpeg
20190427_145928.jpeg
 
Hongera mkuu, Uwe na tahadhari kipindi hiki cha mvua baadhi ya mito hutapika japo sijui huko? Mi nilipata eneo kule chita Moro lipo kando ya mto ule mto ulitapika shamba lote likawa bwana maji yapo juu ya magoti kiasi yale maji yaliharibu show rommy shabby
 
Unachoongea ni ukwel mtupu ndio maana baada ya kuvuna matango mwezi wa 3 sikulima tena ili kusikilizia mvua
Hongera mkuu, Uwe na tahadhari kipindi hiki cha mvua baadhi ya mito hutapika japo sijui huko? Mi nilipata eneo kule chita Moro lipo kando ya mto ule mto ulitapika shamba lote likawa bwana maji yapo juu ya magoti kiasi yale maji yaliharibu show rommy shabby
 
Ukiwa mbagala rangi 3 stand ya kwenda mkuranga wanapaita beasi, si mbali na sokoni rangi tatu. Kuna magari mengi sn mkuu nauli elfu tano tu yapo magari ya ikwiriri rangi 3 moja kwa moja na magari mengi sn ila nakushauri kama utakuja njoo asubuh ili kupata muda mzr wa kutembea. Karibu sn mkuu mm kila weekend hua naenda.
Nafikaje hapo nikiwa natokea DSM? Nauli bei gani?
 
Ukiwa mbagala rangi 3 stand ya kwenda mkuranga wanapaita beasi, si mbali na sokoni rangi tatu. Kuna magari mengi sn mkuu nauli elfu tano tu yapo magari ya ikwiriri rangi 3 moja kwa moja na magari mengi sn ila nakushauri kama utakuja njoo asubuh ili kupata muda mzr wa kutembea. Karibu sn mkuu mm kila weekend hua naenda.
Bei za mashamba zikoje?
 
Back
Top Bottom