rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Kwa Nini Rufiji Na Si Kwingine?
Bonde la mto Rufiji, jirani na daraja la Nkapa
True mmakonde wewe, Hapo panaitwa ikwiriri that is the best place in Rufiji.Kuna maji ya kutosha mpunga pale mwao mwao, nilifika pale na kuonana na dalali wa mashsmbea na viwanja 2014.Kasoro yake kuliwahi kuwa na ugomvi wa wakulima na wafugaji, mafuriko hutokea, wandengereko ni mamwinyi na hawapendi kazi hivyo unawexa shushwa busha.Kingine unachoweza fanya pale ni tour guide maana mbuga ya selou haiko mbali.Usichelewe nenda haraka ukifika stand kuna jamaa wanafanya udalili wa mashamba, mashamba ni bei poa sanaBonde la mto Rufiji, jirani na daraja la Nkapa
Kuongezea ni kwamba unaweza kuanzisha kilimo cha miwa, ufugaji wa samaki na ufugaji ng'ombe wa kistaarabu.UmTrue mmakonde wewe, Hapo panaitwa ikwiriri that is the best place in Rufiji.Kuna maji ya kutosha mpunga pale mwao mwao, nilifika pale na kuonana na dalali wa mashsmbea na viwanja 2014.Kasoro yake kuliwahi kuwa na ugomvi wa wakulima na wafugaji, mafuriko hutokea, wandengereko ni mamwinyi na hawapendi kazi hivyo unawexa shushwa busha.Kingine unachoweza fanya pale ni tour guide maana mbuga ya selou haiko mbali.Usichelewe nenda haraka ukifika stand kuna jamaa wanafanya udalili wa mashamba, mashamba ni bei poa sana
True mmakonde wewe, Hapo panaitwa ikwiriri that is the best place in Rufiji.Kuna maji ya kutosha mpunga pale mwao mwao, nilifika pale na kuonana na dalali wa mashsmbea na viwanja 2014.Kasoro yake kuliwahi kuwa na ugomvi wa wakulima na wafugaji, mafuriko hutokea, wandengereko ni mamwinyi na hawapendi kazi hivyo unawexa shushwa busha.Kingine unachoweza fanya pale ni tour guide maana mbuga ya selou haiko mbali.Usichelewe nenda haraka ukifika stand kuna jamaa wanafanya udalili wa mashamba, mashamba ni bei poa sana
Vp mrejesho? Ulifanikiwa
Vp mrejesho? Ulifanikiwa
Ooh.. vzr mkuu!
Nafikaje hapo nikiwa natokea DSM? Nauli bei gani?
Hongera mkuu, Uwe na tahadhari kipindi hiki cha mvua baadhi ya mito hutapika japo sijui huko? Mi nilipata eneo kule chita Moro lipo kando ya mto ule mto ulitapika shamba lote likawa bwana maji yapo juu ya magoti kiasi yale maji yaliharibu show rommy shabby
Nafikaje hapo nikiwa natokea DSM? Nauli bei gani?
Ukiitaji bonde la mto ruvu nicheki mkuu.nauli 1700Nafikaje hapo nikiwa natokea DSM? Nauli bei gani?
Bei za mashamba zikoje?Ukiwa mbagala rangi 3 stand ya kwenda mkuranga wanapaita beasi, si mbali na sokoni rangi tatu. Kuna magari mengi sn mkuu nauli elfu tano tu yapo magari ya ikwiriri rangi 3 moja kwa moja na magari mengi sn ila nakushauri kama utakuja njoo asubuh ili kupata muda mzr wa kutembea. Karibu sn mkuu mm kila weekend hua naenda.