Kijiswali

Kijiswali

saidi yakoub

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
21
Reaction score
22
a)Kwa nini bondia kama floyd mayweather hajawahi kupigana na mabondia kama Anthony Joshua,Vladimir Klichko,David Haye,Amri Khan, David Chisola

b)Na huu mchezo huwa unapiganwa vipi maana katika hao wote utasikia ni bingwa wa dunia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmhh ngoja waje wajuzi wa huko watakujibu..
Mi niiulize kuhusu BIKO..
 
Ubingwa wa ngumi unaendana na uzito wa mchezaji.
Pia ubingwa wa ngumi unaendana na vyama vya ngumi duniani.
Mfano
Katika Uzito wa juu unaoanzia kilo 90 na kuendelea.
Bondia anaweza kuwa ni bingwa wa mkanda wa WBO Word Boxing Organization au IBF International Boxing Federation. nk

Maywethea Jr. anapigana katika uzito mdogo wa kilo 60 hadi 75 hawezi kupambanishwa na bondia wa Uzito mkubwa kama Vitali Kritcheko.
Sasa basi Maywether anaweza kuwa ni bingwa wa uzito wake huo katika vyama karibu vyote akifanikiwa kuwapiga mabondia wanaoshikilia mikanda ya mashirika hayo.
Hapo ndipo unapomwona anakuwa ni bingwa anayetambulika na, WBC, IBF, UBO, nk.

Zaidi uliza ktk mtandao.
 
Back
Top Bottom