Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana jamvini.Hi everybody in Jamii forums, japo nimekuwa mwanachama kwa muda mrefu leo nimepata nafasi ya kujitambulisha kwenu wanajamii na ninafurahi sana kuwa katika mtandao huu imara na makini. Tutaendelea kuwasiliana asanteni.