Kijiwe cha MMU.

Nilikuwa najua
Ndiyo maana hata sijataka kuanzisha Makapuku ya WhatsApp asiyeridhika kuchat hapahapa Chitchat basi tena tusitafutane hata PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wewe nae! Embu anzisha buana mimi nahamu ya kuchat grupuni
 
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma
aiseee rubi kumbe ndio maana ile siku ulikataa salamu yangu kisa nina macho mekundu daaaa
 
Jamii forum imegharimu maisha ya wengine/damu imemwagika

Mimi jamii forum Ina jasho langu pia kupitia michango jukwaani

Heshima kwa C.O pmj na director
 
Hahah ila we mtu huwa una madongo...Mungu anakuona ujue rubii
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma
 
teh! Mimi nasema ukweli tu!
...lakini watu wa Jeiefu si ndio hao hao waliopo mitaani, au jeiefu inabadili tabia ya mtu anakuwa na swagg za kinyamwezi??!!
 
...lakini watu wa Jeiefu si ndio hao hao waliopo mitaani, au jeiefu inabadili tabia ya mtu anakuwa na swagg za kinyamwezi??!!

Ohoooo watu wakifika jeiefu wanajivika udon, ucute, ushababi,full swagz kumbe ni watu wa hovyohovyo
 
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma
Haha humus kila mtu tajiri na kasoma
 
Jf hakuna msichana/mwanamke mmbaya aisee,na hakuna jamaa maskini na hajasoma, jf raha sana
 
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma

[emoji56]
 
Ohoooo watu wakifika jeiefu wanajivika udon, ucute, ushababi,full swagz kumbe ni watu wa hovyohovyo

Toa mfano kwa picha yake muhusika hapo ndio kastory kananoga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…