Kijiwe cha MMU.

...ila wapo madon, wacute, mashababy sema si unajua ktk msafara wa mamba kenge hawakosi
Ohoooo watu wakifika jeiefu wanajivika udon, ucute, ushababi,full swagz kumbe ni watu wa hovyohovyo
 
Jf hakuna msichana/mwanamke mmbaya aisee,na hakuna jamaa maskini na hajasoma, jf raha sana

Mimi uwezo wangu wakawaida mfukon sikosi buku tatu kwenye tigo pesa yangu nna kama elfu 40 hivi,nnakibamia,sio handsome boy elimu yangu form four hapa inakuwaje humu ndichi mkuu hapanifai?
 
Mimi uwezo wangu wakawaida mfukon sikosi buku tatu kwenye tigo pesa yangu nna kama elfu 40 hivi,nnakibamia,sio handsome boy elimu yangu form four hapa inakuwaje humu ndichi mkuu hapanifai?
Huyo kwenye avatar ni ww wakati u mtoto?,safi umeongea ukweli mkuu...

Upande wangu me ni tajiri sana
 
Huyo kwenye avatar ni ww wakati u mtoto?,safi umeongea ukweli mkuu...

Upande wangu me ni tajiri sana

Haha sio mimi mkuu! Hata mimi nakomaa na kazi nizinyake ili niwahonge waakina miss chagga
 
Mchangie na Mada sio mnatongozana Tu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…