ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kijiweni kwetu ukiwepo tu Basi jua ukiondoka lazima tukuseme aidha kwa mazuri au mabaya.kusemwa Ni lazima,kusemwa is unkwepable.ukitaka kutosemwa usiondoke.anayeondoka ndo stori mpya na tunaendelea nayo hatuweki nukta.hakosekaniki wa kusemwa.ni kijiweni kwetu ninapo POA na watu