Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kuna timu mbili zimekata rufaa kutaka ushindi wa mezani. Ushindwe kucheza mpira uwanjani utake ushindi wa mezani!!Mbona ushindi wa mezani hamna kwa wenzetu?Hivi mchezaji anachezaje bila kuwa na leseni ya TFF?Akiruhusiwa kucheza kosa linakuwa la nani?Njama za kubeba timu fulani kwani mianya ya kuathiri matokeo kupitia marefa imezibwa. Sasa watu wanatafuta ushindi wa mezani.
 
Ondoa fikra butu kichwani mwako Simba SC hata iwe na wachezaji pungufu, Mkodisho FC hawawezi kupata ushindi

Labda kwa msaada wa Martin Sanya, na mkono wa Netball uwanjani, bila shaka unalijua hilo

Tafakari..!
Haha.. naamini kashatafakari na kuchukua hatua ya ku log off.
 
soka tunalotandaza linatosha sisi kujigamba.. haaaa
Kujigamba kwakuwa mbele kwa points 4 ni uchizi wa kiwango cha juu, tena kukiwa na mechi kibao mbele! Angalia chart ya mfungaji bora utaona kichuya ana 9, msuva 9 tambwe 9 ina maana Yanga inawawili na simba mmoja na ngoma kwa mbali anakuja, kwa mwenye akili lazma ataelewa timu gani iko vzr.


soka tunalotandaza linatosha sisi kujigamba.. haaaa
 
Hiyo mada unayoizungumzia ni sharti ujue kuandika ili watu wakisoma waelewe ulichoandika. Kama hujui kuandika kwa mtiririko unaoeleweka hiyo mada tutaijadili vipi?
Kwa taarifa kwa suala la shule unganyamaza tu
 
Mkuu.. Mwaka huu hakuna point za chee kwa timu yoyote ile, wataanzia wapi.? Madeni FC wanawapush timu ndogo wadai point ilhali wao makocha walikosa vibali, huku suala la Kessy nao inaamsha point ndio maana TFF wako kimya kuhusu hayo maigizo..!

Safari hii wameshikwa pabaya hawana namna.
 
Narudia tena simba sio bingwa kwa namna yoyote ile, kuna point 6 tayari tunajua mnapozidondoshea na mkishadondosha basi msahau kabisa
 
Narudia tena simba sio bingwa kwa namna yoyote ile, kuna point 6 tayari tunajua mnapozidondoshea na mkishadondosha basi msahau kabisa
Swadakta Sheikh Yahaya. Na wewe lini utatajirika?Kwani inaelekea utabiri ni fani yako. Bandika matangazo unaweza pata wateja.
 
Wewe ukini ignore unanipunguzia nini?Kwani wewe mke wangu. Inferiority complex.
 

Hizo Tisa Tisa Tisa zimewafikisha wapi.. Mnyama ndo anaongoza ligi.

Alafu nikupe siri.. Siku hao mnaowategemea wakiumia [na uwezekano ni mkubwa kwa kua wote ni mababu] lazima mgeuzwe punching bag tu maana hakuna namna.. Majimaji, Mbao, n.k watakua wanajipigia tu.. Hebu imagine wale mababu Ngoma, na Tambwe hawapo nani atafunga??

Lakini kwetu sisi hatuna wasi wasi hata kidogo, kwani kila mchezaji ni mfungaji.. leo mkimdhibiti kichuya, muzamiru anawaumiza.. mkijifanya kula sahani moja na mavugoal, mo ananyinyi.. sasa kwa staili hii kwanini tusijigambe??

NB; Alafu nasikia yule babu mliyemleta, Mkata Umeme.. akicheza mechi moja na kama akifanikiwa kuimaliza, anatakiwa apumzike mwezi mzima maana viungo vyote vinakua hoi.
Rejea, baada ya mechi ya JKU kacheza lini?
 
[QUNOTE="sembo, post: 19069120, member: 44652"]Nikiwa nishaanza shamra za kusherekea ushindi mzito wa leo wa Simba S.C dhidi ya Ruvu.. Nipo kijiweni na mashabiki wa Ndala wakiwa wamenyong'onyea.. Kisa.. Mkata Umeme!!

Nasikia wakijadili kauli ya Kocha wao.. Kua Ndala wawe na uvumilivu na Mkata Umeme.. kwani jamaa alikua nje ya uwanja kwa mda wa miezi 6.

Hawa jamaa wamejiuliza maswali haya, wakakosa majibu;
1. Kabla ya kumsajili, Je walifahamu kua kwanini jamaa alifungiwa kucheza soka kwa mda wa miezi 6?
2. Kama walifahamu, kwanini walimsajili mtu ambaye hakua uwanjani mda mrefu?
3. Inakuaje Mkata Umeme analipwa zaidi ya milioni 5 akiwa benchi.. Huku wanaowapa ushindi mkiwalipa laki 8?
4. Twite alitimuliwa kisa umri.. Je mna taarifa Mkata Umeme ni kinda la miaka 36?

Wakuu zangu Sibonike Belo Nifah Guasa Amboni demigod Nyenyere juan de otaru libeva Blank page Konaball Mwana Mtoka Pabaya Bailly5 babake nasreen Frank Wanjiru Ulimakafu bila kumsahau ndugu yenu Makoye Matale... naomba mnipatie majibu.. niwape hawa Ndala kindakindaki wenzenu.

Muhudumu fanya mambo haya mawili mda huu, kipindi nasubiri majibu;
1. Niongezee kinywaji
2. Ongeza sauti ya huo wimbo... "... ama kweli wajinga ndo waliwao.. kekundu.. kekundu.. kekundu... ".[/QUOTE]

SWALI LA KWANZA NA LA PILI NI MASWALI MAZURI AMBAYO MAJIBU YAKE ANAYO LWANADAMINA MASHABIKI TUTABAKI KUTOKA TUU MAPOVU HAPA MAANA YEYE NDO ALIKUJA NAYE NA ANAMFAHAMU VIZURI.

KUHUSU SWALA LA KULIPWA MILIONI TANO NAWEZA KUJIBU KWA SEHEMU MBILI KWANZA NI SWALA LA KIMKATABA HAO WANOLIPWA LAKI NANE NA WANA MCHANGO MKUBWA KWA TIMU IKIFIKIA DIRISHA LA USAJILI WATINGISHE KIBERITI KAMA RAMOS KAMA WATAKUWA WAZURI SANA WATONGEZEWA MKATABA KAMA SIO BASI HOJA YA SIJUI LAKI NANE, SIJUI LAKI TISA SIJUI MILION TUACHANE NAYO.
PILI NI KASUMBA KWA TIMU ZA BONGO KUJISIKIA INFERIOR KWA WAGENI NA KUTOWAPA MDA WA KUTOSHA KUWAFANYIA MAJARIBIO.
HAHAHAAH SWALI LA MWISHO LINACHEKESHA KIDOGO HAHAAH WACHEZAJI WENGI WAAFRIKA WANADANGANYA UMRI SIWEZI KULIZUNGUMZIA SANA HAHAHAAH. ASANTE MTANI
 
Kidole kaingizwa mama yako ukazaliwa wewe na mtindio wa akili ndio maana haueleweki.
Mama yangu amekujaje hapa? Tatizo la watu wenyewe ufahamu mdogo! Anyway sikushangai, tabia zako ni sawa tu nikiuita shoga, hahahaha! Yaani chakula cha wanaume wenzio!
 

SWALI LA KWANZA NA LA PILI NI MASWALI MAZURI AMBAYO MAJIBU YAKE ANAYO LWANADAMINA MASHABIKI TUTABAKI KUTOKA TUU MAPOVU HAPA MAANA YEYE NDO ALIKUJA NAYE NA ANAMFAHAMU VIZURI.

KUHUSU SWALA LA KULIPWA MILIONI TANO NAWEZA KUJIBU KWA SEHEMU MBILI KWANZA NI SWALA LA KIMKATABA HAO WANOLIPWA LAKI NANE NA WANA MCHANGO MKUBWA KWA TIMU IKIFIKIA DIRISHA LA USAJILI WATINGISHE KIBERITI KAMA RAMOS KAMA WATAKUWA WAZURI SANA WATONGEZEWA MKATABA KAMA SIO BASI HOJA YA SIJUI LAKI NANE, SIJUI LAKI TISA SIJUI MILION TUACHANE NAYO.
PILI NI KASUMBA KWA TIMU ZA BONGO KUJISIKIA INFERIOR KWA WAGENI NA KUTOWAPA MDA WA KUTOSHA KUWAFANYIA MAJARIBIO.
HAHAHAAH SWALI LA MWISHO LINACHEKESHA KIDOGO HAHAAH WACHEZAJI WENGI WAAFRIKA WANADANGANYA UMRI SIWEZI KULIZUNGUMZIA SANA HAHAHAAH. ASANTE MTANI[/QUOTE]
Shukrani Mtani.. ila umepata lakini matokeo ya mechi ya Jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…