Honestly, I'd just smoke weed everyday reminiscing the moments I shared with humans.Uzi maalum wa free stress, maswali ya kufikirika na majibu yake
Yani ni kjiwe cha kahawa kilichochangamka ama ni kijiwe cha masela baada ya kuzunguka majukwaa ya siasa, intelligence, MMU na kwinginepo ukasema hebu nikapige soga, muhimu uwe na popcorn za kutosha habari za kugongea hatumaind,
Maisha yenyew mafupi haya we jitie upo siriasi sana na maisha shauri lako
Swali la kwanza la kizushi, Tujaalie umebaki peke yako katika huu ulimwengu ni kipi kwako kitachofuata?View attachment 2844718
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nataka nijaribu hiki kitu one day, naihis ladha yake japo sijaijaribu badoHonestly, I'd just smoke weed everyday reminiscing the moments I shared with humans.
usije ukapewa skanka tu ukapagawaNataka nijaribu hiki kitu one day, naihis ladha yake japo sijaijaribu bado
Give us experience mkuu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndo ipi hiyo Mkuu, kwani zinatofautiana, zina level tofautotofauti?usije ukapewa skanka tu ukapagawa
If you are a great individual, you won't regret it. Go for it.Nataka nijaribu hiki kitu one day, naihis ladha yake japo sijaijaribu bado
Give us experience mkuu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
With this my good character am sure it gonna bring big impact to meIf you are a great individual, you won't regret it. Go for it.
If you have a bad character, avoid it at all costs.
Tuna-assume ndo umebaki peke yako, au na wew umeshakoleza Mkuu[emoji23][emoji23]Ntahakikisha nabaki peke yangu
Eti kashakoleza 😂😂😂Tuna-assume ndo umebaki peke yako, au na wew umeshakoleza Mkuu[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Usichukulie Kila kitu serious mkuu. Watu wana vitu vingi sana vichwani mwao, go easy on them.Ila hata kama hatutakiwi kuwa serious na maisha ila sio kwa utoto unaotueleza hapo hivi huwa najiuliza thread zako nyingi huwa unaandika ukiwaza kwa kutumia nini?
Naam naamHaingekuwa na raha tena. Labda wangeweka na ka option cha kuchagua kubaki na mtu mmoja angalau ningemchagua Saint Anne tubaki nae tuanze kuijaza dunia upya.
Kawaida tu MkuuIla hata kama hatutakiwi kuwa serious na maisha ila sio kwa utoto unaotueleza hapo hivi huwa najiuliza thread zako nyingi huwa unaandika ukiwaza kwa kutumia nini?
Naam naamNaenda vutia bangi ikulu.
Duh ungechoka kwakwel, bora umuombe akuletee mwenza at leastIngekuwa namwimbia Mungu muda wote