Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

Samahani unaposema Ukerewe ndo kisiwa pekee Africa kilicho nje ya ukanda wa bahari...
Je kilee cha Mingingo kinachogombaniwa na Kenya na Uganda kipo baharini?? Au sio kisiwaa kileee??
Naomba kufahamuuu
 
Huku vijana wengi wanakula bangi Kama mchicha😆😆😆, afu vichaa kibaoo
 
Asante kwa kuweka andiko kuhusu Kisiwani cha ukerewe. Lakini ungerekebisha kuhusu Aya inayosema 'Ukerewe ni Kisiwa' ambapo umesema ina visiwa 38 na Kisiwa kikubwa ni ukara na kwamba visiwa vingine 'havikariwi na watu'. Mm kwetu ni Kisiwa cha Irugwa na Kuna pia visiwa vya Lyegoba, Kulazu na Buluza vyote hivi vina wa kazi asilia. Pia kuna visiwa vya Bwiro, Ghana n.k. Hivi vyote vilikuwa na watu tangu zamani ingawa siku hizi kimekuwa na muingiliano sababu ya shughuli za uvuvi na biashara.
 
Samahani unaposema Ukerewe ndo kisiwa pekee Africa kilicho nje ya ukanda wa bahari...
Je kilee cha Mingingo kinachogombaniwa na Kenya na Uganda kipo baharini?? Au sio kisiwaa kileee??
Naomba kufahamuuu
Hakufanya utafiti vizuri. Lol, kuna mengi kachapia hapo.
 

Umeongea vitu vya msingi sana.Ila nina maswali machache ya kutaka kujua
1.Vipi kuhusu gharama za malazi na ubora wake
2.Benki gani zinapatikana huko
3.Vipi kuhusu usalama wa mtu mgeni.Ni tahadhari gani inabidi aichukue awapo Nansio au
Kisiwani Ukerewe kwa ujumla. vitu ambavyo nu mwiko kufanya ukiwa ukerewe
4.Mitandao gani ya simu inapatikana huko
 

Upuuzi tu
 
Last time kwenda ukerewe ilkua 2014 vp Vumbi msha weka lami .kulkua kama desert

SUBIRI KIDOGO
 
Visiwa 38 havikaliwi na watu???--- kwanini wasiuze hiyo ardhi kwa watu binafsi kwa ajili ya kuwekeza???
Jumla ya visiwa ni 38 kati ya hivyo,15 vinatumika kama makazi ya kudumu ya watu. Vilivyosalia baadhi vinatumika kama makazi ya muda kwaajili ya shughuli za uvuvi na vingine ni vidogo vidogo havikaliwi na watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…