Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu wewe tuletee Habari za Tunda tuu.... aje remix ni mbovu amepoteza pesa..
Aje remix ina utofauti gani na lupela?Yaani hiyi kijuso ovyo mijitu imejazana Kama nini huyo darlin kakomaa Kama dume du aje iko level nyingine tatizo wabongo wamezoea mi video ya watu kibao kucopy na kupaste nyimbo za watu Kama marry me sijui sina team mtazamu Wangu aje remix aje original level nyingine acheni uteam
Utafikiri unajua muziki kumbe bure kabisa!Yaani hiyi kijuso ovyo mijitu imejazana Kama nini huyo darlin kakomaa Kama dume du aje iko level nyingine tatizo wabongo wamezoea mi video ya watu kibao kucopy na kupaste nyimbo za watu Kama marry me sijui sina team mtazamu Wangu aje remix aje original level nyingine acheni uteam
Livideo linaumiza macho kama amechukua na tecno p5 kama ya kimataifa naomba kituo kimoja tu kilicho ionyesha iyo nyimbo kama marry u ilipoonyeshwa na vituo sita kwa pamoja na vya nje tu hiyo ata mawingu amegoma kuiwekaYaani hiyi kijuso ovyo mijitu imejazana Kama nini huyo darlin kakomaa Kama dume du aje iko level nyingine tatizo wabongo wamezoea mi video ya watu kibao kucopy na kupaste nyimbo za watu Kama marry me sijui sina team mtazamu Wangu aje remix aje original level nyingine acheni uteam
Twambie amecopy kwa nani wewe unayejuwa mziki?Utafikiri unajua muziki kumbe bure kabisa!
Nani amekwambia aje hajacopy?
uwe unafanya tafiti kabla hujaropoka!
au ndio mahaba yamekuzidi
Kajikopi mwenyewe kweny lupela sema hii tembo hawaonekaniTwambie amecopy kwa nani wewe unayejuwa mziki?
Ukifatilia trend ya kiba unaona mwenyewe ni kiasi gani ngoma zake zinavofua asa iv angalia kajiandae cjui ilifia wapiAje ni mbaya kama magoti yako
Ed sheeran- thinking outTwambie amecopy kwa nani wewe unayejuwa mziki?