Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Wengine hatujaziona bado ziweken hapaWakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja
Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli
Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video
Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu
Tchaooooo
Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja
Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli
Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video
Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu
Tchaooooo
Kumbe tuzo za Nigeria mm nikafikiri betOK,watu wamezoea magari ya ghali,rangi za kutosha ndio mseme video ni nzuri!!
Na kama mmegundua sasa hivi ,video zilizo faint ndizo zilizo kwenye trend
Mfano,1.daddyo ya wizkid,2.do like that ya korede bello,,pia kuna wimbo mmoja WA [HASHTAG]#runtown[/HASHTAG] wenye muonekano ama mfanano WA hivyo(faint colours kne video)
Nisielezee sana,,ila huwezi kulinganisha Ajeremix ya alikiba na kijuso ya rayvanny hata kidogo,,mkiulizwa sababu,bila shaka rangi ya video itakuwa ya kwanza kutajwa!maana wcb ni watu WA kukoleza rangi kwenye video zao,ref.Salome,natafuta kiki nk.!!
Labda hitilafu kidogo iliyopo japo haina madhara makubwa ni kukosekana kwa M.I kwenye video!otherwise video iko poa sana!!hususan mwanzoni mwa video ,wamekuwa wabunifu sana,dances pia ziko on point
N.Bv,,video director wa aje original of which mliiponda sana (Meji Alabi-Mnigeria)ndiye huyo huyo aliedirect [HASHTAG]#ajeremix[/HASHTAG],na kama mtakumbuka kwenye tuzo za soundicity za Nigeria Aje ilinominatiwa kama video bora ya mwaka na ilishinda!,,ni Nigeria na sio Tanzania mkumbuke.
Hahahaaa,umenichekeshaaa!ghafla umehamia kwenye tuzo!!!anyways,umeelewaKumbe tuzo za Nigeria mm nikafikiri bet
In short aje remix haina kitu kipya cha kusismua kuanzia audio adi video ni yale yale tu....naipa wiki moja tu tuanisahauHahahaaa,umenichekeshaaa!ghafla umehamia kwenye tuzo!!!anyways,umeelewa
,hata aje original mliipa week,,,remember???lakini iliendelea kubamba kwa muda mrefu tuu,,Ok,unasema kijuso ni kali,hahaha,wimbo ambao hujui ni wapi kaimba rayvanny na ni wapi kaimba queen Darleen??kweli [HASHTAG]#mapenziupofu[/HASHTAG]In short aje remix haina kitu kipya cha kusismua kuanzia audio adi video ni yale yale tu....naipa wiki moja tu tuanisahau
Mkuu hawa wamezoea video zenye mimwanga ya kung'aa kama series za kikorea......waangalie Hello ya Adele rangi ya video yake na kabeba grammy za kutosha,hata aje original mliipa week,,,remember???lakini iliendelea kubamba kwa muda mrefu tuu,,Ok,unasema kijuso ni kali,hahaha,wimbo ambao hujui ni wapi kaimba rayvanny na ni wapi kaimba queen Darleen??kweli [HASHTAG]#mapenziupofu[/HASHTAG]
Mkuu hawa wamezoea video zenye mimwanga ya kung'aa kama series za kikorea......waangalie Hello ya Adele rangi ya video yake na kabeba grammy za kutosha
Sijasema kijuso ni kali au hujaisoma vzur comment yangu.....ukiwa shabiki wa msanii utapenda tu nyimbo zake hata akitikea kaimbo utumbo utaushabikia tu.....kwng kijuso ni moja ya nyimbo mbaya kwa muda huu,hata aje original mliipa week,,,remember???lakini iliendelea kubamba kwa muda mrefu tuu,,Ok,unasema kijuso ni kali,hahaha,wimbo ambao hujui ni wapi kaimba rayvanny na ni wapi kaimba queen Darleen??kweli [HASHTAG]#mapenziupofu[/HASHTAG]