Kikaangoni ya EATV.

Kikaangoni ya EATV.

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Wadau hivi kwanini Celebrities wanaoendaga kikaangoni ya EATV wanapendaga kudanganya au Kuongea vitu vya Ajabu??Jana Tumeshuhudia Amber Lulu akiongea ufamba kabisa!et Form 4 alipata Division 2 ya 34..!!Hii division 2 itakua ya nchi jirani tena hasa hasa Malawi,,Pia Lulu diva nae Hapo hapo Wakati anakaangwa akasema Kwasasa ana Umri wa miaka19 so hayuko tayari kuolewa mpaka akue,,Sasa najiuliza Why hufanya ivi au kwa sababu inatakiwa ujibu fasta Chapcheree ndo hubabaika??.
@NgarenaroBoy.
 
Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    20.5 KB · Views: 27
  • ah.JPG
    ah.JPG
    19.3 KB · Views: 21
Wadau hivi kwanini Celebrities wanaoendaga kikaangoni ya EATV wanapendaga kudanganya au Kuongea vitu vya Ajabu??Jana Tumeshuhudia Amber Lulu akiongea ufamba kabisa!et Form 4 alipata Division 2 ya 34..!!Hii division 2 itakua ya nchi jirani tena hasa hasa Malawi,,Pia Lulu diva nae Hapo hapo Wakati anakaangwa akasema Kwasasa ana Umri wa miaka19 so hayuko tayari kuolewa mpaka akue,,Sasa najiuliza Why hufanya ivi au kwa sababu inatakiwa ujibu fasta Chapcheree ndo hubabaika??.
@NgarenaroBoy.
Sometime hao watangazaji huwa wanauliza maswali ya kijinga na pia majibu ya ovyo wanayapa exposure kuliko ya muhimu kwenye page zao za social network ndo maana maswali yao mengi 99% yanahusu udaku.
 
Okay
 
Mziki mgumu watu wanalazimisha trend ili waongelewe.
 
Hakuna page ya tv iliyojaa watoa coment wenye vituko kama iyo......
Sishangai wanachokijibu ndio mashabiki wao wanachokipenda zaidi

Back
Top Bottom