Sometime hao watangazaji huwa wanauliza maswali ya kijinga na pia majibu ya ovyo wanayapa exposure kuliko ya muhimu kwenye page zao za social network ndo maana maswali yao mengi 99% yanahusu udaku.Wadau hivi kwanini Celebrities wanaoendaga kikaangoni ya EATV wanapendaga kudanganya au Kuongea vitu vya Ajabu??Jana Tumeshuhudia Amber Lulu akiongea ufamba kabisa!et Form 4 alipata Division 2 ya 34..!!Hii division 2 itakua ya nchi jirani tena hasa hasa Malawi,,Pia Lulu diva nae Hapo hapo Wakati anakaangwa akasema Kwasasa ana Umri wa miaka19 so hayuko tayari kuolewa mpaka akue,,Sasa najiuliza Why hufanya ivi au kwa sababu inatakiwa ujibu fasta Chapcheree ndo hubabaika??.
@NgarenaroBoy.
Wanauliza ni mashabikiSometime hao watangazaji huwa wanauliza maswali ya kijinga na pia majibu ya ovyo wanayapa exposure kuliko ya muhimu kwenye page zao za social network ndo maana maswali yao mengi 99% yanahusu udaku.
Wanauliza ni watangazaji na mashabiki kijanaWanauliza ni mashabiki
Wadau hivi kwanini Celebrities wanaoendaga kikaangoni ya EATV wanapendaga kudanganya au Kuongea vitu vya Ajabu??Jana Tumeshuhudia Amber Lulu akiongea ufamba kabisa!et Form 4 alipata Division 2 ya 34..!!Hii division 2 itakua ya nchi jirani tena hasa hasa Malawi,,Pia Lulu diva nae Hapo hapo Wakati anakaangwa akasema Kwasasa ana Umri wa miaka19 so hayuko tayari kuolewa mpaka akue,,Sasa najiuliza Why hufanya ivi au kwa sababu inatakiwa ujibu fasta Chapcheree ndo hubabaika??.
@NgarenaroBoy.