Kikao cha dharura cha mashabiki wa WCB

Malipo ni hapa hapa duniani by Mawingus!
 
Kwani mbona kama mnaumia sana huyu dogo akitoka? Si mumuache aende, kama kulosti si atalosti yeye?

Mbona kama hana impact kihivyo kwa huyo Simbaaaa mnavyosema, mbona mnahangaika sana, si mumuache basi akalosti na Simba aendelee kutusua maisha
 
Hivi waafrika akili zetu zikoje. Kwani ni dhambi mtu akiwa mtu mzima kwenda kuanzisha mji wake ?

Diamond na cabinet yake wanatakiwa proud kwamba kijana waliyemtengeneza kwa miaka kadhaa sasa ameweza kufanya kazi nzuri kwa kujitegemea na sio kutegemea tena kuegemea bega la Nassibu.

Ila shida ndio ile ile kama walivyo wateule wa wanzuki yani tunapenda umwinyi , kunyenyekewa na ujinga mwingine kama huo ndio maana wenye busara wanasema Afrika ni makao makuu ya ujinga na upumbavu duniani.
 
Wivu wa kipuuzi kabisa huu. Halafu kwanini unashawishi watu wafuate wamkanyage hivi wewe kama wewe huyu dogo Harmonize amekukosea nini haswa. Acha woga kwani ata akikwama kuna ata senti tano atakuomba? Endelea kukaa kwa shemeji yako kwa kuogopa kujitegemea.
 
Mwacha akapoteee....Yetu macho na maskio.....Zaidi tutapiga nyimbo zake kama kawaida tuu kwenye vijiwe na wakat wa sherehe kama zitakuwa nzuri na kama zitakuwa mbovu, tutazisusa.
 
Me toka aanze kujipendekeza kwa meko basi nikamdharau
 
Wanaume wa dar!!! Nyie ndo msiotaka kuhama nyumbani mkajitegemee, au mnasubiria baba afe mrithi mali kazi hamtaki kufanya.

Kuna ubaya gani hamonize kutoka kwenda kujitegemea na kuacha nafas kwa wengine kuingia wasafi?
 
Mbona umri wako na uchawi havifanani? Akifanikiwa zaidi akiwa nje ya WCB hasara yako itakuwa nini? na akifeli akiwa nje ya WCB utafaidika na nini?
Watu wenye akili timamu unapofika muda wa kujitegemea huomba lidhaa ya kujitegemea kutoka kwa wazazi na wazazi wenye busara huwatakia heri na kuwakumbusha wasisahau nyumbani.
Nyie mbona mnaumia pindi vijana wenu wanapohitaji kujitegemea? Au mnatabia ya kutaka kuwafanya Ndondocha?
Siku nyingine usiandike chuki isiyokupa faida maana utakuwa akili ndogo inayotumiwa na akili kubwa kufanikisha mipango yao. Tuishi kwa UPENDO
 
Hivi kuna watu watashikiwa akili na mpuuzi kama wewe! Halafu harmo sio kiba ukumbuke hilo na riziki ya mtu anapanga mwenyezi Mungu usishangae anaanguka mond kabla ya huyu dogo
 
umeshavunja ungo acha mambo ya kitoto.

Kijana kakuwa kaamua kwenda kuishi maisha yake tena ametuma maombi kusitisha mkataba kwa amani hataki shida na mtu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuwa mchawi sio hadi upae
Una tabia za kichawi sana ! ...akiharibikiwa na maisha wewe utanufaika nini!
 
Uchawi
 
Ukute mwaaa yeyote anayepiga kelele haswahi ata kwenda kwenye show ata moja hasa wew ni zogo tu .. harmonize kawachomoa betri
 
una sifa zote za mchawi , nina hakika na zana unazo
 
Acha upuuzi! Wewe ukitendewa mema na baba ako ukiwa mkubwa inakuzuia kukaa mwenyewe na kujitegemea?? Wanaume wengine sijui vipi??
 
Ila hii itamvunja mondi moyo wa kuibua vipaji vya wabongo wengine ikiwa mambo yenyewe ndio huwa hivi
 
Kwani ukinitendea wema ni lazima nibaki kwenye kampun yako..hio sio guarantee..
Mwacheni atafute pesa na maisha yake..
Wewe kunisaidia Mimi sio guarantee nikufate kama kuku

na kwanI alikuwa haingizi faida??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…