Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Apr 19, 2020 #21 Kikao kimeazimia watu wa Dar wakae karantini kwa gharama za mkuu wa Mkoa. Unatoka na container yako ya chakula kwenda kuchukua chakula kwenye mgahawa wowote ulio mtaani kwenu, wenye migahawa watalipw na RC
Kikao kimeazimia watu wa Dar wakae karantini kwa gharama za mkuu wa Mkoa. Unatoka na container yako ya chakula kwenda kuchukua chakula kwenye mgahawa wowote ulio mtaani kwenu, wenye migahawa watalipw na RC
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 1,771 Reaction score 5,087 Apr 19, 2020 #22 Nilisimama kuchangia mada mjomba akakalisha chini haraka huku akisema hatuongelei kuhusu punyeto hapa
Nilisimama kuchangia mada mjomba akakalisha chini haraka huku akisema hatuongelei kuhusu punyeto hapa
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Apr 19, 2020 #23 LING'WINA said: Mada zote hizi zilijadiliwa kwa dakika 45?..[emoji848]..... Hapa kulikuwa na " zidumu fikra za mwenyekiti". Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Naaam mwendo wa kama jiwe tuu. Hata ibada zimefupishwa Sent using Jamii Forums mobile app
LING'WINA said: Mada zote hizi zilijadiliwa kwa dakika 45?..[emoji848]..... Hapa kulikuwa na " zidumu fikra za mwenyekiti". Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Naaam mwendo wa kama jiwe tuu. Hata ibada zimefupishwa Sent using Jamii Forums mobile app
101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,221 Apr 21, 2020 Thread starter #24 Wanadar kikao cha familia kimewiva Sent using Jamii Forums mobile app