The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Tutashukuru uwepo wako mkuuNitafika mkuu...thanx kwa info..
Waalike na wananchi mpwapwa waje kwenye KikaoAhsante kwa taarifa.
nishaanza kuwahamasisha. Nitawaletea report ya namna wanavyorespond .Waalike na wananchi mpwapwa waje kwenye Kikao
Tuma namba yako ya simu, Jina lako, email address yako kwenda jesaccos.tz@gmail.com pia unaweza kurefer kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/136832-je-saccos-jamii-empowerment.htmlnataka kujiunga jamani. taratibu zipoje???
Tuma namba yako ya simu, Jina lako, email address yako kwenda jesaccos.tz@gmail.com pia unaweza kurefer kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/136832-je-saccos-jamii-empowerment.html
Tuliibadilisha kutoka JF Saccos kwenda JE Saccos (Jamii Empowerment Saccos)ahsante. ni JE saccos au JF saccos. mwongozo plz
Katavi hautatuma mwakilishi kutoka Lyamba Lya MfipaNadhani wale mliopo Dar mtatuwakilisha vyema...
Katavi hautatuma mwakilishi kutoka Lyamba Lya Mfipa
mkuu natamani kuwepo lakini hili jinamizi la ajali ya meli...
Mmmh halafu huwezi kuna boti nyingine ilikuwa inakuja Dar imezima ghafula wakati ikiendelea na safari. Mchana wa leo
Hahaha!!! Lol Asante Sanaasantee...
Ntajitahidi kuwa hapo..
Dah!! Pole Sana Mkuumkuu natamani kuwepo lakini hili jinamizi la ajali ya meli...
Mmmh halafu huwezi kuna boti nyingine ilikuwa inakuja Dar imezima ghafula wakati ikiendelea na safari. Mchana wa leo