The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
niliwahi kupendeka siku moja kuwa walio mbali basi wahudhurie kikao kwa njia ya online.....mmoja anakuwana laptop pale then anwangunihswa wale walio mbali kwa skype, mikogo au hata team viewer...... ni rahisi sana .....
Mkuu naomba unitumie Skype address yako kwenda email hii jesaccos.tz@gmail.com au you can as well PM me then i will add you kwenye Skype Accountniliwahi kupendeka siku moja kuwa walio mbali basi wahudhurie kikao kwa njia ya online.....mmoja anakuwana laptop pale then anwangunihswa wale walio mbali kwa skype, mikogo au hata team viewer...... ni rahisi sana .....
niliwahi kupendeka siku moja kuwa walio mbali basi wahudhurie kikao kwa njia ya online.....mmoja anakuwana laptop pale then anwangunihswa wale walio mbali kwa skype, mikogo au hata team viewer...... ni rahisi sana .....
Karibu Sana Ndetichiahaya TF pamoja itabidi nijichange nije kwa maendeleo ya baadae
chukua hiyo:
changia/weka mara kwa mara
kopa kwa sababu maalum
lipa kwa wakati
JE SACCOS new member
Mkuu upo mkuu this time around nitakuja complete in regards to that projectMkuu umesomeka,ila kwenye Red hapo juu 🙂
count me in ,nitakuwepo.
Ndetichia tunakukaribisha wewe, ndugu, jamaa na marafikihaya TF pamoja itabidi nijichange nije kwa maendeleo ya baadae
chukua hiyo:
changia/weka mara kwa mara
kopa kwa sababu maalum
lipa kwa wakati
JE SACCOS new member
Mkuu if you are willing and determined you will make it despite of the venue complications as you mentioned abovevenue ipo so kushoto..
Mkuu if you are willing and determined you will make it despite of the venue complications as you mentioned above
Mkuu your safety is highly guaranteed that we can assure you, you're most welcomeHilo eneo ni maarufu kwa Mungiki..how is my safety guaranteed?