Kikao cha JE Saccos

Maelekezo kidogo juu ya huu mtazamo wa huyu jama,tafadhali tunaomba mwongozo

mkuu

All are welcomed as long as the idea originated from JF and we are all enthusiastic in empowering community

your attendence is highly valued

we are sailing on the same boat
 
Haha!!! Mkuu umeniacha hoi
 
Asante kwa taarifa "The Finest".
Nilikuwa nimeiweka katika ratiba kuhudhuria kikao hiki, lakini nimebanwa na kazi na nitashindwa kuja, nafanya mpango japo wa kutuma mwakilishi kama inaruhusiwa...........pamoja sana.
 
Pamoja Sana Katavi..
 
Reactions: LAT
Nipo Dar na inshaaalah nitakuwepo siku hiyo!!
 
Reactions: LAT
asanteni kwa taaarifa lakini isije ikawa deci ya pili yazaliwa
 
asanteni kwa taaarifa lakini isije ikawa deci ya pili yazaliwa
Always thinking negative as usual, we all due respect kama you are interested then well and good if not then we would advise you to stop tarnishing JE Saccos image with your false implications.
 
Always thinking negative as usual, we all due respect kama you are interested then well and good if not then we would advise you to stop tarnishing JE Saccos image with your false implications.

Real Joyce never think negative! dadake wewe ni Joyce wa wapi? Acha kunitia aibu! njoo ule keki ya upendo kwanza ili uutie kasi kujiunga!
Karibu sana wageni wooooooote!!
 
ODM anatafakari kuja....

Hivi na wale mahasimu wa kwenye jukwaa la siasa na la dini hawatanifanya niwe refarii wa kuamua ngumi? Au si wanachama wa JE Saccos? Manake dah! sipati picha wakikutana uso kwa uso.....

ODM anawaahidi atakuwa mwanachama hai wa hii saccos. Ngoja niiweke hii bajaji yangu matairi ya trekta.
 
ODM siasa za majitaka zinaachwa huko huko usigope bana hamna ngumi za uso mkuu hahaha
 
Nikikutana na Rejao patachimbika.
Kama rejao anakuja ngoja nisafishe hii kimeo, damn! Imepata vumbi wakati wengine wanaweka kiunoni. Kwani nini bana, laki si pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…