No 7......nimepata faida ya kutengeneza marafiki wapya wenye moyo wa upendo, wazuri, watanashati......na ninategemea kutengeneza wengi zaidi ifikapo 2011.....kupitia Jamii Forums.....Happy New Year
MAADA ZA KIKAO.
1. NANI AMEKUWA MTOA MAADA MZURI (MAADA ZINAZO JENGA JAMII)?
2. NANI AMEKUWA MCHANGIAJI MZURI, MWENYE LUGHA NZURI NA ANAPASWA KUPONGEZWA?
3. JE NANI ANATAKIWA AFUNGIWE, ASIKANYAGE KABISA KATIKA JUKWAA LETU??
4. NI MAMBO GANI YAMEKUKERA KATIKA JUKWA HILI KWA MWAKA 2010.
5. NI MAADA ZIPI UNAPENDA ZISIRUHUSIWE KATIKA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2011.
6. JE UMESAIDIKA KWA KIWANGO GANI NA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2010?
7. JE NINI KIZINGATIWE ILI KUBORESHA JUKWA LETU KWA MWAKA 2011??
TUNAOMBA MCHANGO WAKO
.
KARIBU SANA.
Umejiunga Novemba, leo Desemba unaitisha kikao, umewajua members kwa undani? Sasa hapo ndipo inapoonekana faida ya kujiunga mapema. Nasubiri member mwingine aliyetimiza mwaka humu aje kuitisha kikao cha mwaka, sio member ana mwezi mmoja anaitisha kikao cha mwaka!
Umesahau pia kuwa umepata SHEMEJIIII!!!!
umejiunga novemba, leo desemba unaitisha kikao, umewajua members kwa undani? Sasa hapo ndipo inapoonekana faida ya kujiunga mapema. Nasubiri member mwingine aliyetimiza mwaka humu aje kuitisha kikao cha mwaka, sio member ana mwezi mmoja anaitisha kikao cha mwaka!
congrats mrembo!!No 6......nimepata faida ya kutengeneza marafiki wapya wenye moyo wa upendo, wazuri, watanashati......na ninategemea kutengeneza wengi zaidi ifikapo 2011.....kupitia Jamii Forums.....Happy New Year
Mh, I will be back soon budy!
Umejiunga Novemba, leo Desemba unaitisha kikao, umewajua members kwa undani? Sasa hapo ndipo inapoonekana faida ya kujiunga mapema. Nasubiri member mwingine aliyetimiza mwaka humu aje kuitisha kikao cha mwaka, sio member ana mwezi mmoja anaitisha kikao cha mwaka!
mkuu nimekuelewa sana na n=mimi kwangu ningependa mada zinazohusiana ma mahusiano, mapenzi na urafiki (MMU) na sio matusi, na kejeliThanks a millions acid,lakini hapo kwenye nyekundu, nahisi kama hujasoma vizuri swali.
mkuu nimekuelewa sana na n=mimi kwangu ningependa mada zinazohusiana ma mahusiano, mapenzi na urafiki (MMU) na sio matusi, na kejeli
MMU is the richest forum when it comes to humanity and friendship... hata life ya wana-MMU haihitaji kujifichaficha kama majukwaa mengine
Nimefuraìa maisha toka nimejiunga hapa nawashukuru wanajamii wote