Kikao cha jukwaa cha kufunga mwaka

nimefuraìa maisha toka nimejiunga hapa nawashukuru wanajamii wote

hongera, inaonyesha ni kweli umeenjoy sana hapa jf. Pia inaonyesha ni msomaji mzuri wa mawazo ya wengine (1099 thanks, 734 posts, tahnked 238/158). Ni hazina njema hapa jf. Keep going.
 
 
Kuwepo training kwa wageni wanaokaribia jukwaani kila siku ili waendane na maadili ya jukwaa katika kuleta mada na kuchangia mada. Pili wanachama wapunguze kuanzisha topic nyingi kwa siku, mfano unakuta mwanachama mmoja anaanzisha topics kumi kwa siku, huyu hatufaia maana katika hizo topics kumi kwa siku ni mbili tu zenye tija kwa wanajamii.

Nawasilisha
Mokoyo
 
Wengi sisiyo wanasiasa wala wadini hivyo tupewe keycode tuwe tunajivinjali kwenye jukwa la mambo yakikubwa!!
 
This is my last post for the year 2010 i love you guys stay blessed. And happy new year 2011 kwa aliye Dar namkaribisha DOUBLE TREE HILTON HOTEL
 
Nimekuwa na uhusiano mzuri na marafiki zangu wenye upendo wa Agape,pia nimepata mkwe The Finest
 
mimi nimejifunza mengi kwenye masuala ya mapenzi,kutokana na u busy wangu,sikuwa mchangiaji mzuri.ila 2011 kila siku lazima nitapitia jf. Na nimejifunza w.me wengi ,wanapenda nyumba ndogo,kuwa na nyumba ndogo kwao ni jambo la kawaida kabisa.seriously nilikuwa nasikia hili neno katerero{msinione mshamba},kumuuliza mtu kwangu mimi ni mtu wa aibu nisingeweza,ila nilikuwa najua ni neno la asili ya kagera.nashukuru kwa kupitia humu,nimelielewa
 

very important point
 

safi sana kisukari,, sasa hapo kwen bold, umeelewa na jinsi ya kulitenda? kama bado tuongeze shule kidogo
 
safi sana kisukari,, sasa hapo kwen bold, umeelewa na jinsi ya kulitenda? kama bado tuongeze shule kidogo

Mh...The Pope at work!!
My guess is-hapo unavolunteer kuyatoa hayo mafunzo ya vitendo sio...?!!
 
Mimi Bado Mgeni bwana nina mabegi mnipokee tu!
 
mi nimejiunga jana tu,so sijui lolote,lakini hapa nitanoa ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…