Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kweli kweli kweli daimaaaa,Chama hakina mvuto🤔
P tupe mrejesho kwanza Kwa maslahi ya taifa mengine achana nayo kwanza,je umefanikiwa kwenye mbio zako🏃View attachment 2349111
Duh...!, ama kweli kuna vitu wenye macho wanaona na hawahitaji kuambiwa kuhusu mvuto, ila kiukweli kila mtu ana macho yake na mvuto wake!. Kama kwako CCM haina mvuto!, sijui ni chama gani kwako kina mvuto maana...
PView attachment 2349111
hawa wameshachoka kabisa tozo kila siku mifumo ya haki imefungwa mikono suluhisho ni katiba mpya tuMwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.View attachment 2348394
Mrejesho haujatangazwa, ila kama ni sifa, sifa ninazo, ila tuko wagombea 187 hivyoP tupe mrejesho kwanza Kwa maslahi ya taifa mengine achana nayo kwanza,je umefanikiwa kwenye mbio zako🏃
Jiwe aliharibu nchiThanks God for change, this time wanakutana Lumumba na sio on my state House, ccm wote humu tambueni center of power ipo Lumumba SIO Ikulu, mimi nikienda ikulu ni haki yangu ila huwezi kunikuta naenda Lumumba!