Kikao cha kamati ya Fedha RT chasambaratika

Kikao cha kamati ya Fedha RT chasambaratika

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Kikao Cha Kamati ya Fedha cha Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevurugika baada ya wajumbe wa kamati ya fedha kugundua matumizi mabaya ya Fedha ambayo haikupewa idhini na kamati hiyo, pamoja na kamati tendaji.

Kikao hicho kilipata dosari kwa kuwa mabosi wakuu wa RT hawakuhudhuria , na kamati kubaini mkaguzi wa RT asiyetambulika na Kamati ya fedha, na ndiye aliyefunga mahesabu hayo.

Kiongozi wa Taasisi aliyekuwepo ni Mhazini wa RT , ambaye alishindwa kutoa majibu ya ubadhirifu wa fedha za Shirikisho hilo.

Wakati huo huo, kikao cha katiba kilifanyika na kujadiliwa na kupitishwa.

Serikali Yetu sikivu, itazame hili.... wanariadha wanateseka sana.
 
Ningeshangaa kama yasingetokea yaliyotokea,
 
Alaf sehem kama hapa huwez kuwaona takukuru
 
Huko RT kumejaa maccm yote majizi ndiyo maana hata riadhaa imekufa Tanzania
 
Back
Top Bottom