Kikao cha kumi cha bunge la JF

Kikao cha kumi cha bunge la JF

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.

MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia moja.

Klorokwini: Haya ndugu wabunge , maada ndoo hii naomba michango yenu. Atakaye leta vurugu namtoa nje sasa ivi.

Asanteni

discusion.jpg
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nimeguna kwa loud speaker. source: spika kloro
 
Mhhhh, sasa mi mgeni si ndio ntakuwa yule Kafumu wa kule Igunga?

Kwa kuwa bado sijaapishwa na Mheshimiwa Spika naomba ni-reserve nondo zangu mpaka pale mheshamiwa saaaana spika atakaponiapisha
 
Mie kama mbunge wa Arusha mjini napinga swala la ndoa moja kwa nguvu zote na atakayepingana na mimi 2kitoka nje ya kikao namzibua
 
kweli weekend imeanza. Ila ushoga na hzo ndoa za jinsia moja zimefanyaje?
 
Vikao vyetu ni namba za makuni tu, Kikao cha 10, then cha 20, 30,40,50,.................
Sijasikia kiako cha tisa achilia mbali vile vya chini ya hapo.
 
Imeandikwa.." Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.., tena mahari pengine... bali wanakubaliana nao wayatendayo... Kwa hiyo ww angali uko wapi kutii sheria ya Mungu au ni wale wale.
 
duh...ishi maisha marefu jf.. Mi naona mheshimiwa membe katuongopea...
 
Back
Top Bottom