Kikao cha maandalizi ya Maulid ya kitaifa kufanyika Geita

Kikao cha maandalizi ya Maulid ya kitaifa kufanyika Geita

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Katibu Mkuu BAKWATA alhaj Nuhu Jabir Mruma anaongoza kikao cha Bakwata mikoa sita kinachofanyika ukumbi wa maonyesho EPZ mjini Geita.

Kikao hiki kinashirikisha masheikh, makatibu, wenyeviti, wahasibu na wajumbe wawakilishi wa halmashauri ya Bakwata taifa wawakilishi wa mikoa pamoja na wahasibu na viongozi wa JUWAKITA na JUVIKIBA.

Aidha viongozi kama hao wa wilaya za mikoa ya Mwanza, Kagera, Simiyu, Mara, Shinyanga.

Mikakati kabambe inawekwa na kikakao hiki kufanikisha maulid itakayofanyika katikati ya mwezi Sep. 2024 mjini Geita.
......

Dr. Harith Nkussa
Msemaji Maalum wa Mufti
Jumanne 20.8.2024
Geita.
 
Wakitoka kizimkazi route inayofatia ni Geita.
 
Back
Top Bottom