TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Tarehe 12/04/2014, siku ya jumamosi, saa 9:00 kamili mchana, ukumbi ni Ubungo River Side Bar - Ubungo River Ride. kutakuwa na kikao cha pili cha wadau wote ambao wapo tayari kuleta mapinduzi ya ajira nchini, kila mdau ahakikishe akosi siku hiyo, pia kila mdau asambaze taarifa hii kwemye mitando mingine ya kijamii na kwa marafiki wote. kwa mawasiliano: 0717 309119 ( afisa habari ).
Asanteni na Mungu awabariki
Asanteni na Mungu awabariki