TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
wizi mtupu....! waepuke kama ebora
wizi mtupu....! waepuke kama ebora
Tarehe 12/04/2014, siku ya jumamosi, saa 9:00 kamili mchana, ukumbi ni Ubungo River Side Bar - Ubungo River Ride. kutakuwa na kikao cha pili cha wadau wote ambao wapo tayari kuleta mapinduzi ya ajira nchini, kila mdau ahakikishe akosi siku hiyo, pia kila mdau asambaze taarifa hii kwemye mitando mingine ya kijamii na kwa marafiki wote. kwa mawasiliano: 0717 309119 ( afisa habari ).
Asanteni na Mungu awabariki
Watanzania wanapinga ata mambo mazuri.
Ata kama hawana pesa lakin kupitia umoja huo ni rahis kusaidiwa. Ni ngumu kusaidiwa mtu mmoja mmoja ila kupitia umoja ni rahisi.
Nawashauri msikatishwe tamaa na watu aluta continua.