Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Hivi tanzania kuna wasanii?Team Membership JamiiForum kama kichwa cha tajwa hapo juu.
Wasanii Wa Bongo-Dar Leo kukaa kikao chao kwaajili ya kujadili Mziiki Wa Bongo,Ni nini wafanye,na kipi,ili iweje,yote kwa yote kutoboa Kimataifa .
Si chongi sana naweka kalamu chini kulisikilizia walojadili kwenye Hall lao.Nazani members wore mtakuwa mashahidi kwa hili litakalotokea uko Kikaoni chao.
Chanzo:Bongo5.com
Team Membership JamiiForum kama kichwa cha tajwa hapo juu.
Wasanii Wa Bongo-Dar Leo kukaa kikao chao kwaajili ya kujadili Mziiki Wa Bongo,Ni nini wafanye,na kipi,ili iweje,yote kwa yote kutoboa Kimataifa .
Si chongi sana naweka kalamu chini kulisikilizia walojadili kwenye Hall lao.Nazani members wore mtakuwa mashahidi kwa hili litakalotokea uko Kikaoni chao.
Chanzo:Bongo5.com
Na wangekubali kulipwa ingekuwa ndo mwisho wao maana sasa hivi hawalipwi lakini nyimbo zinabaniwa za baadhi ya wasaniiNasikia wamesitisha zoezi la kulipwa na vituo vya redio until further notice.
Na wangekubali kulipwa ingekuwa ndo mwisho wao maana sasa hivi hawalipwi lakini nyimbo zinabaniwa za baadhi ya wasanii
Je wakilipwa tutawasikia tena kweli kina nuh nasiri harmonize nk
Maamuzi sahihi kama ni wao wenyewe lakini
Ndo maana nikasema hiyo system ya kulipwa ita wa favour wachache tu ila ma underground watateseka hasa clouds ndo wana huo ujingaBora wapate kidogo kuliko kutopata kabisa.
Embu jiulize sasa hivi hawalipwi nyimbo zao zikipigwa radioni au kwenye TV wanafaidika na nini?
Wajanja wamepitisha pesa kwa wachache ili waachie na wameachia kweli.
Swala hapa walilotakiwa kuangalia ni mfumo wa uchezwaji wa kazi zao yangewekwa mazingira ya kuhakikisha kazi zote zinapewa nafasi mfano wange omba wasome sheria yenyewe kuona utaratibu wenyewe lengo likiwa ni kuvibana vyombo vya habari kucheza asilimia 99 ya nyimbo za nyumbani!Ndo maana nikasema hiyo system ya kulipwa ita wa favour wachache tu ila ma underground watateseka hasa clouds ndo wana huo ujinga
Wanathamini pesa kuliko kipaji
pengine serikali ika kataa ombi lao maana huu mfumo pia una lengo la kukusanya kodi kupitia kazi zao....!Nasikia wamesitisha zoezi la kulipwa na vituo vya redio until further notice.