Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi

Mimi nashauri twende ile pub mpya ya Sinza!
 
Niko maeneo ya paradise apa ngoja nijongeee
 
<font Sasa mimi st. roya nakuhakikishia hutatoka manundu...
Naona Roy roya unataka kuleta mchezo wa padre na mtawa eti gari limeisha petrol hivyo anataka kumsaidia kwa kufyonze mkojo kutoka kwake ili aweke katika gari!!ili ayaombee yageuke mafuta!
 
jamani atakayepita hapa calabash anipe lift
 
Rose Garden kijiwe cha mzee wa mwanza former waziri kijana
 
Unauliza lift kwakila mtu?.au ujaona drisha la ku pm??kwanini ujapm??do it i'll pass by!!
 
Dah!! Hii cocktail ya valuu na konyagi inashuka vizuri kweli kweli inakata kiu yangu
 
Da hiyo pedo imekukaa

umeiona eeeeh....dah....namsubiri Ngabu kaniwekesha hapa lisaa sasa....mi naishia zangu naenda kula samaki wa foil triple M Sinza....vipi utakuja?
 
umeiona eeeeh....dah....namsubiri Ngabu kaniwekesha hapa lisaa sasa....mi naishia zangu naenda kula samaki wa foil triple M Sinza....vipi utakuja?

Preta nshafika....unaona hiyo Pijot (Peugot 504) hapo mbele karibu na alipokaa Diana? Njoo basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…