Kikaptula Alichovaa Michelle Obama

Mama Salma anatakiwa aige mfano huo! teh teh teh!
 
Tatizo kwa wabantu asilia, mzee kikinyooka tu ofisini, umbo la mama na watoto linachenji kwa kasi ya puto, mboga zinaanza kurudikwa mifuta (fat every thing!), milo mchanganyiko kila saa, acha mibia ya moto nk. U model kama Mrs O utatoka wapi ????Labda "umiss Bantu!"
 
wacha ajipe raha na athletic figa yake mama wa watu, wacha wenye ma nyamanyama ya uzembe waloe majasho kwa kujifunika funika kwenye joto...

wanawake wangapi wa umri wa miaka 45 wapo fit na young looking kama Mrs Obama?
 
duh, habari ndiyo hiyo! first lady of USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…