Kikawaida mnaanza kugegedana siku ya ngapi ya kutongozana na kukubaliana?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Hebu tuambie basi jamani, uligegeda/gegedwa siku ya ngapi baada ya mtongozano mimi namaliza mwaka sasa kuna manzi alinikubalia mtongozo ila mambo ananipa kalenda
 
lazima umzungushe kidogo.........

kugegedwa siku hiyo hiyo haijakaa poa sana
 
Hata miaka miwili, kwani anakimbilia wapi?
Hakuna kipya ni mwendo wa kusubiri, mtu hawezi anachapa lapa.
 
hivi kwanini vijana wa siku hizi mko hivyo
yaani kazi yenu kubwa ni kugegeda /kugegedeana

kwani ukikaa bila kugegeda utaishi mpaka ufanyehivyo?
Kwanini unataka mwili ukutawale na wewe usiutawale huo mwili
kwanini mnaendekeza ayo makitu yasiyo na maana kabisa
kwanini usikae ukasubiri mpaka ufunge ndoa ndipo ugegede
kwanini unakuwa mtu wa tamaa kiasi hicho
subirianeni mkaoane kisha mkadedeane huko honeymoon
 
Weka basi mkato, nukta n.k. kwani unakimbizwa lol
 
Kaizer jaman mbona unakmblia punctuation marks hapo pana ujumbe mzur sana, zungumzia kdogo bas kwenye kaujumbe hapo, huwa napenda vjembe vyako tu...
 
Tatizo la ladyfurahia anagomba tu ss nashindwa kujua ujumbe hasa ni upi? Ujumbe mzuri apo ni upinkwa mfano?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom