Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kikukweli mimi unipa sikuhiyohiyo ujue nimekuacha
huyo ndo poa sana,hapo mpaka ndoa ndo kieleweke
hivi kwanini vijana wa siku hizi mko hivyo
yaani kazi yenu kubwa ni kugegeda /kugegedeana
kwani ukikaa bila kugegeda utaishi mpaka ufanyehivyo?
Kwanini unataka mwili ukutawale na wewe usiutawale huo mwili
kwanini mnaendekeza ayo makitu yasiyo na maana kabisa
kwanini usikae ukasubiri mpaka ufunge ndoa ndipo ugegede
kwanini unakuwa mtu wa tamaa kiasi hicho
subirianeni mkaoane kisha mkadedeane huko honeymoon
Weka basi mkato, nukta n.k. kwani unakimbizwa lol
Kaizer jaman mbona unakmblia punctuation marks hapo pana ujumbe mzur sana, zungumzia kdogo bas kwenye kaujumbe hapo, huwa napenda vjembe vyako tu...