Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Oct 11, 2010 #1 2005 alimtungia wimbo wakati wa uchaguzi...vipi 2010?
K King kingo JF-Expert Member Joined Sep 6, 2010 Posts 401 Reaction score 26 Oct 11, 2010 #2 This time jamaa hafai kabisa wenye akili timamu wote wanajiepusha nae, wanaogopa aibu
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Oct 11, 2010 #3 Wamebaki hawa vijana wa bongo fleva wanaganga njaa yao. Hawajali litakalowapata baada ya hapo. Nawaonea huruma.
Wamebaki hawa vijana wa bongo fleva wanaganga njaa yao. Hawajali litakalowapata baada ya hapo. Nawaonea huruma.
Mpambalyoto JF-Expert Member Joined Mar 26, 2010 Posts 752 Reaction score 3 Oct 11, 2010 #4 Safari_ni_Safari said: 2005 alimtungia wimbo wakati wa uchaguzi...vipi 2010? Click to expand... Utu uzima dawa. Dalili hii inafunza kwamba hata kura za 2005, mwaka huu JK hatazipata
Safari_ni_Safari said: 2005 alimtungia wimbo wakati wa uchaguzi...vipi 2010? Click to expand... Utu uzima dawa. Dalili hii inafunza kwamba hata kura za 2005, mwaka huu JK hatazipata
kapotolo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2010 Posts 3,727 Reaction score 2,217 Oct 11, 2010 #5 Mchukia Fisadi said: Wamebaki hawa vijana wa bongo fleva wanaganga njaa yao. Hawajali litakalowapata baada ya hapo. Nawaonea huruma. Click to expand... Siwalaumu, Njaa inawasumbua si unajua hawauzi
Mchukia Fisadi said: Wamebaki hawa vijana wa bongo fleva wanaganga njaa yao. Hawajali litakalowapata baada ya hapo. Nawaonea huruma. Click to expand... Siwalaumu, Njaa inawasumbua si unajua hawauzi
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Oct 11, 2010 #6 kapotolo said: Siwalaumu, Njaa inawasumbua si unajua hawauzi Click to expand... Kwa hasira nitaongeza piracy ya kazi zao
kapotolo said: Siwalaumu, Njaa inawasumbua si unajua hawauzi Click to expand... Kwa hasira nitaongeza piracy ya kazi zao
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Oct 12, 2010 Thread starter #7 Hata Msondo Wameingia Mitini