Umeusemea moyo wangu
Ni lini utakubali kwamba ulichelewa kujipendekeza ,na ukweli kuwa wamekuwahi ,kwanini unatumia njia walioitumia wale wale kwa njia inayofahamika ,ukitegemea the same.kaka kufanikiwa huja na kufanya mambo kikweli jielimishe vizuri fanya siasa safi utaonekana tu ,lakini ni wazi hata Mh Kama anataka akuteue anaona aibu ,hata angekusifia basi mahali,umebaki kuwa kituko maana hii nini hata mtoto wa la pili atasema ,MUSIBA SIO KWAMBA ANAMPENDA RAISI ,BALI ANADHANI RAISI HUCHAGUA WATU WANAOMSIFIA
Nje kidogo ya mada.....hivi alishaenda kupimwa marinda????Ni lini utakubali kwamba ulichelewa kujipendekeza ,na ukweli kuwa wamekuwahi ,kwanini unatumia njia walioitumia wale wale kwa njia inayofahamika ,ukitegemea the same.kaka kufanikiwa huja na kufanya mambo kikweli jielimishe vizuri fanya siasa safi utaonekana tu ,lakini ni wazi hata Mh Kama anataka akuteue anaona aibu ,hata angekusifia basi mahali,umebaki kuwa kituko maana hii nini hata mtoto wa la pili atasema ,MUSIBA SIO KWAMBA ANAMPENDA RAISI ,BALI ANADHANI RAISI HUCHAGUA WATU WANAOMSIFIA
Kuna tetesi aliwekwa kinyumba na mzungu mmoja, MasakiHuyo jamaa hivi nani anamtindua marinda? Watu wengine buna