utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
- Thread starter
-
- #21
Twitter kiboko makonda alijua atampoteza kumbe kamuinua sana yaani hata ambao walikuwa hawan Mpango nae leo wametafuta habari zakeNaona pierre asaiv anapost tu matangazo. ..I think wanaom manage huyu mtu ni akili kubwa sana mana kakaa kimya kama sio yeye alieshika insta leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mm. Kiukweli nilikuwa simfahamu. Lkn Leo nimempekua liquid mpak nikamjuaTwitter kiboko makonda alijua atampoteza kumbe kamuinua sana yaani hata ambao walikuwa hawan Mpango nae leo wametafuta habari zake
mpuuzi mpuuzi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni fan wa huyu jamaa lakini washkaji zangu hawamuelewi kabisa ila leo kutwa nzima wanamfwatilia wmepekua na kupata habari ambazo nilikuwa sizijui kuhusu jamaaMfano mm. Kiukweli nilikuwa simfahamu. Lkn Leo nimempekua liquid mpak nikamjua
Nyingine niliyoipata ni kwamba anakwenda UK kwa mwaliko wa Victor Wanyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni fan wa huyu jamaa lakini washkaji zangu hawamuelewi kabisa ila leo kutwa nzima wanamfwatilia wmepekua na kupata habari ambazo nilikuwa sizijui kuhusu jamaa
mpuuzi mpuuzi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pombe tunakunywa lakini jamaa imemtoa makonda kaona wivu pombe inampandisha ndege aende ulayaNyingine niliyoipata ni kwamba anakwenda UK kwa mwaliko wa Victor Wanyama
Mzee wa 900 itapendeza alipanda jukwaani kwny campaign za hicho chama akapotea mazimaaa.Mda si mrefu utaambiwa yuko kwenye campaign za CCM. Wait and see!