Kiki ya Makamikia ukitaka penzi.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
*Sasa hivi ukitaka kupiga sound demu unatumia maneno haya yanayokwenda na wakati*


vita ya kutazama uzuri wako haijawahi kuziacha hisia zangu salama . nipe makinikia ya moyo wako. Naahidi kulipa mirahaba yako na kodi zote za mapenzi. Sitakudanganya kiwango cha madini kilichoko kwenye mchanga wa madini ya mapenzi kama acacia. Please usizuie contena la mchanga wa madini ya penzi langu kwenye bandari ya moyo wako, usiniundie kamati za marafiki zako kufanya uchunguzi wa makanikia ya upendo wangu
usinitangaze kuwa naiba utajiri wa mgodi wa moyo wako hadharini mbele ya vyombo vya habari, nitakufata hata kwa private jet kama raisi wa Barick nitakuomba tukae kwenye meza ya mazungumzo ili uniruhusu kuchimba sukari ya moyo wako. Usiwahusishe viongozi wastaafu ma X wako katika katika ombi langu sababu wengine watakuwa walikusainisha mikataba mibovu ikakuumiza na wengine wamepumzika baada ya kubwa ya kulijenga taifa la moyo wako....[emoji23][emoji23][emoji124][emoji125][emoji124][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…