M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
maongezi ya simu ASUBUHI:
baba DAB: hello...dogo?
dogo (DAB): ndiyo, ni mimi baba. shikamoo!
baba DAB: marahaba. sasa sikiza...nenda klauz katengeneze tatizo afu tuli-solve, umesikia?
dogo (DAB): sawa baba nimekunyaka....dakika sifuri.
baba DAB: sharp, ndiyo maana nakuaminia dogo!
!
!
maongezi ya simu JIONI:
dogo (DAB): hello baba, shikamoo. klauz tayari nimekinukisha baba!
baba DAB: safiii sana dogo. sharp!
!
!
maongezi ya simu dakika 5 baadae....
baba DAB: hello.....dk Kiwembe?
dk Kiwembe: ndiyo ni mimi mkuu, nakusikiliza mtukufu.
baba DAB: kuna tatizo klauz, umesikia?
dk Kiwembe: ndiyo mkuu nimesikia..lakini huyu dogo vipi mbona....?
baba DAB: tuliza boli dk. ni mimi, siyo dogo. sikiza, nitakwambia siku ya wewe kwenda klauz kutatua tatizo, sawa?
dk Kiwembe: ndiyo mtukufu..... nasubiri amri yako!
baba DAB: utasema nani katatua tatizo?
dk Kiwembe: ni wewe mkuu, kwani kuna mwingine nchi hii baba mtukufu?
Episode ya "Kiki za DAB na baba DAB" itaendelea wiki ijayo....fuatilia hapa hapa JF.