Brayson Minja
Member
- Aug 22, 2017
- 54
- 39
Hivi hawa wasanii wetu hasa hizi lebo mbili kubwa Tanzania nini kina wakumba awawezi kufanya kazi bila kuwa na kiki?
Ukiangalia mziki watanzania ulikuwa una kua kwa kasi kubwa sana, lakini hii miaka ya karibuni umeanza kushuka na hii ina sababishwa na wasanii wetu baadala ya ku focus na ngoma kali wako bize kujib kiki za mtandaoni.
Ushauri wangu kwa wasani, Huu muda wa kukurupuka kuingia studio kujibi tuhuma na kiki flani wange focus kwa kuanda mziki mzuri ambao uta dumu kwa miaka mingi. Ukiangalia mizki mingi saivi ina toka na kudumu miez michache na kusaulika