Kikianza kikosi hiki DR CONGO tunawapopoa

Kikianza kikosi hiki DR CONGO tunawapopoa

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
-Mohamed Hussein
-Simon Msuva
- Kibu Denis
-Mbwana Samatta
-Aishi Manula
-Mudathir Yahaya
-Charles Mombwa (acheze kiungo wa kati)
-Dickson Job
-Ibrahim Bacca
-Fei Toto
- Haji Mnoga

Waambiwe wakabe kwa kasi na kufanya mashambulizi ya akili na uhakika sio kubutua butua ujinga, msuva, Samatta na Kibu wasirudi nyuma sana waishie mstari wa kati kufanya Counter attacks

Full backs wajitahidi kutupa mipira mirefu kuwatafuta washambuliaji wetu kuwavuruga beki za Kongo

Otherwise TUTAPIGWA HADI TUCHAKAE
 
Kila La Kheri Taifa Stars.

Huwa Nashangaa Sana Kwanini Hadi Leo Himid Mau Anapata Nafasi.


Kila La Kheri Taifa Stars.
 
Dua zenu FC leo hamna chenu, ni kufurushwaa tyuuh
 
Back
Top Bottom