Kikiiva utakula?? ????

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Kama taito ilovojieleza wapendwa karibu. Vipi kikiiva mtakula??
 

Attachments

  • TMPDOODLE1485342486355.jpg
    73 KB · Views: 60
Ungejua mazingira ya Migahawa mingi ya mjini aisee usingekula Chakula baadhi wachafu sana ukipelekwa jikona utaweza tapika jiko lipo karibu na choo Basi tu Mungu anatulinda
 
Kitalika kama ni mwandani wako au kimepikwa bila ya wewe kushuhudia
 
Kama tunazama hadi chumvini, kuna shida gani kula vilivyopikwa karibu na Uvinza?
Hahahaha!! Duh kama akina mama wanaouzaga uji mtaani ile mida ya jioni wanatawaziaga papuchi kwenye dishi/beseni then yale maji waliyotawazia wanayaweka kwenye uji ili iwe tamu na ipendwe na watu wote.

Nashindwaje kula kikiiva kwa mfano tena papuchi imechunguliwa tu chakula
 
Kama taito ilovojieleza wapendwa karibu. Vipi kikiiva mtakula??
Hahahaha!! Duh kama akina mama wanaouzaga uji mtaani ile mida ya jioni wanatawaziaga papuchi kwenye dishi/beseni then yale maji waliyotawazia wanayaweka kwenye uji ili iwe tamu na ipendwe na watu wote. Nashindwaje kula kikiiva kwa mfano tena papuchi imechunguliwa tu chakula
 
Hahahahahahaah Ndo maana vinakuwaga vitamu Sana kwa mtindo Huo
 
Mimi sili kwa kweli1[emoji23][emoji23]
 
tunafyala tu ....hatuachi kitu.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…