Mkasi kilikosa spouncersKilikuwa ni lazima kife maana pale alichemka, poor idea. Bora arudie mkasi
Kilikuwa ni lazima kife maana pale alichemka, poor idea. Bora arudishe mkasi
Nilipendaga sana mkasi jaman alivyokuja na ngaz kwa ngaz nikawa hata cmuelew ,nakumfuatilia kukaishia hapo..Kiliisha kwa sasa yupo na kingine kinaitwa Shabiki On Saturday kipo EATV kila jumamosi saa 5 asbh.
Unakipendea nn hicho kipindi ,ckukipenda tangu nimekiona kwa Mara ya kwanza,na cjawai kukiangalia tena cjui hata kinaonyeshwaga liniNauliza hiki kipindi sikioni kimeishia wapi au amehamia tv nyingine?
Hichi ni kipindi cha sport pesaa si mnajuaa na yy ni balozi wa sportpesaa sa ndo anatangaza lakini kwa kupitiaa kipindi so its all about sports hakinog wala hakina diliNilipendaga sana mkasi jaman alivyokuja na ngaz kwa ngaz nikawa hata cmuelew ,nakumfuatilia kukaishia hapo..
Hicho kipindi cha Shabiki on satarday kinahusu nn? Labda hiki kitakuwa kizuri kesho nijaribu kuangalia
Kumbeee!Hichi ni kipindi cha sport pesaa si mnajuaa na yy ni balozi wa sportpesaa sa ndo anatangaza lakini kwa kupitiaa kipindi so its all about sports hakinog wala hakina dili
Itakua kizuri ila mda sasaNilipendaga sana mkasi jaman alivyokuja na ngaz kwa ngaz nikawa hata cmuelew ,nakumfuatilia kukaishia hapo..
Hicho kipindi cha Shabiki on satarday kinahusu nn? Labda hiki kitakuwa kizuri kesho nijaribu kuangalia
Na yeye bora aanzishe SHILAWADU tu, wakina GENTAMYCINE wataangalia.