kikohozi kisichopona kwa mwanangu

kikohozi kisichopona kwa mwanangu

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
mtoto wangu Wa mwaka mmoja anakohoa sana hasa ikfka usku
nmempeleka hospital Mara kadhaa na amechomwa sana sndano lakn haponi!dozi ikiisha tu anaanza kukohoa,

naomben ushauri sijui nimpe dawa gan au nimsaidiaje!!!maana du anateseka!

Nipo mbeys,nmeenda mkoani napo bado tu!
n
 
Mpe matunda hasa machungwa ikiwezekana ya blend imperial purée anywe
 
Back
Top Bottom