ahsante kwa ushauri kiongozi,tumeshampatia dawa za worms na tunaendelea kumpatia kila baada ya angalau mwezi.Ameshatumia dawa za michango (worms), inaweza pia kuwa sababu kubwa anakuwa anakereketwa akiwa amelala anakohoa sana na mara nyingine anatapika. Ni kweli mchana anakuwa normal hana tatizo ila usiku hamlali kwa kukohoa, pia jaribu kumpa chakula mapema kabla ya kulala kiwe digested vizuri kwa kipindi ambacho anatapika walau chakula kiwe kimeingia mwilini.