Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mgeni rasmi ni makamu wa Rais hana madaraka hayo.Kwa upepo ulivyo vuma kule Bungeni huenda leo tukapata majibu ya kikokotoo Leo.
Amewakwepa wafanyakazi.Aliyetengeneza tatizo hawezi kuwa sehemu ya utatuzi.
Unajua kwann raisi hayupo hapo?
Inawezekana kampa maelekezo mkuuSasa mgeni rasmi ni makamu wa Rais hana madaraka hayo.
Huwezi kumpa maelekezo mtu mwingine kwa jambo zito kama hilo, hakuna utaratibu huo.Inawezekana kampa maelekezo mkuu
Sasa mgeni rasmi ni makamu wa Rais hana madaraka hayo.
Wanadeka vipi?Watumishi mnadeka sana!
Ínashangaza sana serikali inadhurumu pesa za mifuko halafu inataka kuwapangia watu maisha.