Kikokotoo kupatiwa majibu leo

kanderema

Member
Joined
Apr 26, 2024
Posts
18
Reaction score
18
Kwa upepo ulivyo vuma kule Bungeni huenda leo tukapata majibu ya kikokotoo Leo.
 
Aliyetengeneza tatizo hawezi kuwa sehemu ya utatuzi.
Unajua kwann raisi hayupo hapo?
 
Inawezekana kampa maelekezo mkuu
Huwezi kumpa maelekezo mtu mwingine kwa jambo zito kama hilo, hakuna utaratibu huo.

Kwanza Makamu wa Rais anakaimu madaraka ya Urais kama Rais hayupo, je huyu mama yuko wapi? Na may day ipo kwenye kalenda inajurikana wazi ni siku fulani.
 
Watumishi mnadeka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…