lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu.
Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha)
Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu ikae WAZI.
MF 500,000/= - 1,000,000/=
HAPO ndo vifo baada ya kustaafu vilipo na HAKUNA UZALENDO BAADA YA AJIRA.