lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Mwajiriwa wa serekalini namdharau sana. Hawana akili hawajitambui. Walitakiwa kukinukisha kweki kweri. Asilimia 33 ni wendawazimu sana. Bora kujiajiri tu.Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu.
Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha)
Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu ikae WAZI.
MF 500,000/= - 1,000,000/=
HAPO ndo vifo baada ya kustaafu vilipo na HAKUNA UZALENDO BAADA YA AJIRA.
Muajiriwa wa wapi hapa bongo mbali na wa Serikalini anapata zaidi ya hiyo 33% niende nikaajiriwe huko bloangu?Mwajiriwa wa serekalini namdharau sana. Hawana akili hawajitambui. Walitakiwa kukinukisha kweki kweri. Asilimia 33 ni wendawazimu sana. Bora kujiajiri tu.
Ajira tamu bwana asikwambie mtu!! Nauwezo wa kuajiriwa na kujiajiriMwajiriwa wa serekalini namdharau sana. Hawana akili hawajitambui. Walitakiwa kukinukisha kweki kweri. Asilimia 33 ni wendawazimu sana. Bora kujiajiri tu.
Hapa ulitaka kumaanisha mizigo au WEZI?
Mwajiriwa wa serekalini namdharau sana. Hawana akili hawajitambui. Walitakiwa kukinukisha kweki kweri. Asilimia 33 ni wendawazimu sana. Bora kujiajiri tu.